Habari

Tundu Lissu akizungumza mbele ya Zitto, Membe kwenye mkutano wa ACT Wazalendo (Video)

Mgombea wa Urais kupitia Chadema, Tundu Lissu amezungumza na mamia ya wanachama wa ACT Wazalendo katika mualiko maalum aliopewa na uongozi wa chama hizo katika Mkutano Mkuu wa ACT. Lissu amedai upinzani ukishindwa katika uchaguzi huu utakuwa kwenye wakati mgumu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents