Tundu Lissu atuma salamu za rambirambi kwa familia ya wanafunzi 10 walipoteza maisha kwa moto

“Kwa niaba ya timu ya kampeni natuma salamu za Rambirambi na pole Kwa wazazi, walezi na ndugu wa vijana kumi waliofariki kwenye ajali ya moto Kagera, pia nawatakia afya njema vijana wengine waliopo hospitalini.”

“Wananchi wa Mdabulo wameniambia haijawahi kutokea kwa Rais au mgombea wa Urais kutembelea Kata yao tangu Mungu aumbe mbingu na nchi”

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW