Burudani

Photos: Ilikuwa ni raha tupu na Koffi Olomide Leaders Club

Koffi Olomide akicheza Tcha choo style.

Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries kupitia bia yake ya Tusker lager jana jioni iliandaa tamasha maalumu kabisa la nyama choma pamoja na burudani ya muziki iliyopewa jina la Tusker Carnival na kumualika msanii nguli wa Kiafrika Koffi Olomide ambaye alikuja nchini maalumu katika tamasha hilo pamoja na kusherehekea kutimiza kwa miaka 13 kwa kituo cha Clouds Fm.

Tamasha hilo lilianza mapema mida ya alasiri ambapo wananchi kutoka maeneo mbali mbali ya jiji la Dar-es-Salaam na vitongoji vyake walikwenda katika viwanja vya Leaders Club kwa ajili ya kupata nyama choma huku wakishushia na bia yao pendwa ya Tusker Lager ambao ndio walikuwa wadhamini wakuu wa tukio hilo.

Aidha katika kulipamba na kulinogesha tamasha hilo bendi kadhaa za nyumbani ikiwemo Twanga Pepeta, Mapacha watatu, Diamond Musica na Skylight Band zilialikwa kutumbuiza na kuwapa raha mashabiki na wapenzi wa burudani ya Muziki wa Dansi nchini Tanzania.

Bendi zote zilifanya makamuzi ya nguvu, lakini ushindani mkali ulionekana kutoka kwa bendi ya Diaomond Muzica iliyokuwa ikongozwa nae Hassan Liver Sultan na Bendi ya Skylight ambayo iliongozwa na kina Joniko Flower ambapo mashabiki wengi waliofika katika viwanja vya Leaders walionekana kuzifurahia.

Ilifika zamu ya msanii mwalikwa wa tamasha hilo la Tusker Carnival Charles Antoine Koffi Olomide ambapo alipanda stejini majira ya saa sita za usiku na ushehee akitanguliwa na mwimbaji wake mahiri wa kike katika kundi la Quartier Latin bibie Cindy ambaye naye alikonga nyoyo za mashabiki wengi waliojitokeza jana kwa sauti nyororo, murua na ya kuvutia.

Koffi Olomide alidumu kwa takriban saa moja akiimba nyimbo zake nyingi zaidi kutoka albamu yake ya nyuma Affaire D’Etat kama Julia na kadhalika. Koffi olomide alitumia wasaa wake wa kutumbuiza kuwashukuru watanzania kwa moyo wa upendo na ukarimu walionao kwake akisema amewapatia mashabiki wake wa Tanzania nafasi ndani ya moyo wake na pia aliwatambulisha washiriki wa kumsaka mrembo anayegombania taji la Miss East Africa jukwaani.

Leo Koffi Olomide na kundi zima la quartier Latin litakuwa katika uwanja wa CCM Mwanza kutumbuiza kwa wakazi wa kanda ya ziwa.

[caption id="attachment_28304" align="alignnone" width="600"]waimbaji na wanenguaji wa kundi zima la Quartier Latin wakinengua. waimbaji na wanenguaji wa kundi zima la Quartier Latin wakinengua.
CEO wa Clouds Media Joseph Kusaga akiteta na mkurugenzi mwenza Mama Juhaina Kusaga
CEO wa Clouds Media Joseph Kusaga akiteta na mkurugenzi mwenza Mama Juhaina Kusaga
Mwimbaji pekee wa kike wakundi la Quartier Latin Cindy akiwajibika pamoja na wacheza shoo.
Mwimbaji pekee wa kike wakundi la Quartier Latin Cindy akiwajibika pamoja na wacheza shoo.
Koffi Olomide akicheza na mmoja wa wagombea wa taji la urembo Miss East Africa wakati wa kuwatambulisha.
Koffi Olomide akicheza na mmoja wa wagombea wa taji la urembo Miss East Africa wakati wa kuwatambulisha.
Koffi olomide akijiachia na Mmoja wa washiriki wa taji la Miss east Africa
Koffi olomide akijiachia na Mmoja wa washiriki wa taji la Miss east Africa
Washiriki wa taji la Miss East Africa wakifuatilia shoo ya Koffi olomide kabla ya kutambulishwa jukwaani.
Washiriki wa taji la Miss East Africa wakifuatilia shoo ya Koffi olomide kabla ya kutambulishwa jukwaani.
Wafanyakazi wa SBL Maurice Njowoka, Azda na Caroline wakipozi.
Wafanyakazi wa SBL Maurice Njowoka, Azda na Caroline wakipozi.
Babou wa kitaa na Rommie Jones wakiwakilisha.
Babou wa kitaa na Rommie Jones wakiwakilisha.
Kitokololo wa Fm Academia akijiachia na Tusker yake.
Kitokololo wa Fm Academia akijiachia na Tusker yake.
Mwimbaji Cindy wa kundi la Quartier Latin akishambulia jukwaa.
Mwimbaji Cindy wa kundi la Quartier Latin akishambulia jukwaa.
Koffi olomide akijiandaa kupanda jukwaani.
Koffi olomide akijiandaa kupanda jukwaani.
Koffi Olomide akicheza Tcha choo style.
Koffi Olomide akicheza Tcha choo style.
rusha mikono hewani.
rusha mikono hewani.
Koffi akimtambulisha CEO wa Clouds Media, Bwana Kusaga Jukwaani.
Koffi akimtambulisha CEO wa Clouds Media, Bwana Kusaga Jukwaani.
Koffi akiimba.
Koffi akiimba.
Warembo wa Miss East Africa.
Warembo wa Miss East Africa.
Baraka Shelukindo wa Multi Choice TZ na mwenyekiti wa Taswa juma Pinto wakipozi mbele ya Camera
Baraka Shelukindo wa Multi Choice TZ na mwenyekiti wa Taswa juma Pinto wakipozi mbele ya Camera
Mkurugenzi Mtendaji wa Serengeti Breweries Bwana Steve Gannon akimkaribisha Koffi olomide ndani ya viwanja vya Leaders Club.
Mkurugenzi Mtendaji wa Srengeti Breweries Bwana Steve Gannon akimkaribisha Koffi olomide ndani ya viwanja vya Leaders Club.

DSC_1868 (600x402)

DSC_1867 (600x402)

DSC_1866 (600x402)

Sam wa Skylight Banda na Shilole
Sam wa Skylight Banda na Shilole
Mtangazaji Musa Hussein na Khalid Chokoraa.
Mtangazaji Musa Hussein na Khalid Chokoraa.
Warembo wa Miss East Africa wakipozi na Prisca Simon wa Fast Jet.
Warembo wa Miss East Africa wakipozi na Prisca Simon wa Fast Jet.
Mkurugenzi wa Serengeti Breweries bwana Steve Gannon akipozi na warembo wa Miss East Africa.
Mkurugenzi wa Serengeti Breweries bwana Steve Gannon akipozi na warembo wa Miss East Africa.
Wana Quartier Latin wakipozi backstage.
Wana Quartier Latin wakipozi backstage.
Joniko Flower wa Skylight Band akiimba.
Joniko Flower wa Skylight Band akiimba.

DSC_1811 (600x402)

DSC_1812 (600x402)

DSC_1817 (600x402)

DSC_1818 (600x402)

Msanii Dully sykes na Body Guard wake Arafat.
Msanii Dully sykes na Body Guard wake Arafat.
Fideline iranga alitokelezea na washkaji zake.
Fideline iranga alitokelezea na washkaji zake.
Shilole na swahiba wake.
Shilole na swahiba wake.

DSC_1796 (600x402)

Sama pamoja na meneja wa Mapacha watatu na fan wao wakipozi kwa pamoja.
Sama pamoja na meneja wa Mapacha watatu na fan wao wakipozi kwa pamoja.
Mkurugenzi mtendaji wa SBL bwana Steve Gannon akicheza na Caroline.
Mkurugenzi mtendaji wa SBL bwana Steve Gannon akicheza na Caroline.
Ben Kinyaiya akipozi na Mkurugenzi wa Masoko SBL Bwana Mafuru.
Ben Kinyaiya akipozi na Mkurugenzi wa Masoko SBL Bwana Mafuru.
Mkurugenzi mtendaji wa SBL hakuwa na maskhara kabisa katika kuskata Rumba, hapa ilikuwa nyimbo ya Diaomond Musica.
Mkurugenzi mtendaji wa SBL hakuwa na maskhara kabisa katika kuskata Rumba, hapa ilikuwa nyimbo ya Diaomond Musica.
Wanenguaji wa Diamond Musica wakiwajibika stejini.
Wanenguaji wa Diamond Musica wakiwajibika stejini.
Kiongozi wa bendi ya Diamond Musica Hassan sultan akiongza vijana wake kulishambulia jukwaa.
Kiongozi wa bendi ya Diamond Musica Hassan sultan akiongza vijana wake kulishambulia jukwaa.
Kusaga na God wakiteta jambo.
Kusaga na God wakiteta jambo.

DSC_1787 (600x402)

DSC_1752 (600x402)

DSC_1751 (600x402)

DSC_1754 (600x402)

DSC_1757 (600x402)

 HR wa Fastjet Geraldine Duwe akiwa pamoja na HR mwenzake wa  SBl
HR wa Fastjet Geraldine Duwe akiwa pamoja na HR mwenzake wa SBl
Kevin Twisa, Teddy Mapunda na Shafii Dauda.
Kevin Twisa, teddy Mapunda na Shafii Dauda.
Mboni Masimba na rafiki yake wakipozi.
Mboni Masimba na rafiki yake wakipozi.

DSC_1766 (600x402)

Kiongozi wa Diamond Musica Hassan sultan akiwajibika.
Kiongozi wa Diamond Musica Hassan sultan akiwajibika.

DSC_1698 (600x402)

DSC_1700 (600x402)

DSC_1708 (600x402)

DSC_1710 (600x402)

Lwiza Mbutu wa Twanga pepeta akiongoza mashambulizi
Lwiza Mbutu wa Twanga pepeta akiongoza mashambulizi
Wanenguaji wa Twanga Pepeta wakipagawisha.
Wanenguaji wa Twanga Pepeta wakipagawisha.
Dansa wa Twanga Pepeta akiwachengua mashabiki.
Dansa wa Twanga Pepeta akiwachengua mashabiki.

DSC_1749 (600x402)

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents