Habari

Tutaanzisha mitihani ili uwe mtumishi wa Kinondoni unafanya ukifaulu ndio utaruhusiwa – DC Hapi (+video)

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Hapi amesema kuwa “Ili ufanye kazi Kinondoni lazima uwe na akili na kasi ya kuendana na Kinondoni, huko mbele ili uwe mtumishi Kinondoni tutaanzisha mitihani unafanya mtihani ukifaulu ndio utaruhusiwa, ukifeli tutakurudisha huko huko ulikotoka hatutaki watu wasioendana na kasi yetu” – DC Ally Hapi.

DC Hapi ameyasema hayo leo katika Mkutano wa Wajasiliamali wote wa wilaya ya Kinondoni uliofanyika katika Ukumbi wa King Solomoni jijini Dar es salaam.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents