Tutafanya vizuri

Image
Mchezaji wa Serbia ambaye pia anachezea klabu ya Manchester United, Nemanja  Vidic, anaamini timu ya Serbiaitafanya vizuri kwenye fainali za kombe la Dunia baadaye mwakani huko Afrika Kusini na kufanikiwa kupita hatua za awali. Vidic anasema Serbia imejiandaa vizuri ikiwa na wachezaji bora kushinda zadi ya awali walipocheza huko Ujerumani Hii ni mara ya kwanza kwa mchezaji huyo kucheza kwenye fainali hizo ingawa alikuwepo kwenye benchi kwenye fainali za mwaka 2006 zilizofanyika Ujerumani

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents