Habari

‘Tutakutana mbinguni Dogo Mfaume’ – Juma Nature (+Video)

Msanii wa Bongo Fleva, Juma Nature ni mmoja ya watu walioguswa na msiba wa Dogo Mfaume kiasi kwamba anaamini ipo siku watakutana mbinguni.

Juma Nature akizungumza na Bongo Five amesema katika Imani ya Dini ya Kiislam anaamini siku ya kiama watakutana Mbinguni na kurudia maisha tena kama enzi za uhai wake,Mtazame hapa chini akimzungumzia Dogo Mfaume

By Godfrey Mgallah

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents