Michezo

Twiga Stars kuivaa Zambia michuano ya Afcon

Timu ya Taifa ya Wanawake(Twiga Stars) itacheza na Zambia katika mchezo wa kufuzu fainali za Africa kwa Wanawake zitakazochezwa Ghana baadaye mwaka huu.

Kikosi cha timu ya taifa ya wanawake (Twiga Stars).

Twiga Stars inatakiwa kucheza mechi zote mbili kati ya April 2 na April 10,2018 katika mchezo huo wa raundi ya kwanza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents