Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Tyga akanusha kuwa na uhusiano na mdogo wake Kim Kardashian, azungumzia diss ya Drake

Rapper wa YMCMB, Tyga amekanusha kuwa na uhusiano na mdogo wake Kim Kardashian, Kylie Jenner.

kylie-jenner-tyga-thanksgiving-homeless-cozy-spl-1-lead

Akiongea kwenye kipindi cha Power 105.1, The Breakfast Club jana, Tyga alidai kuwa hakuiacha familia yake kuwa na Kyle.

Kabla ya hapo Amber Rose ambaye rafiki yake na mke wa zamani wa Tyga, Blac Chyna alihojiwa kwenye kipindi hicho pia na kumponda rapper huyo kwa kuwa na uhusiano na mtoto huyo mwenye miaka 17.

https://www.youtube.com/watch?v=ZK8VPLYJ5mE

Kwa upande mwingine, Tyga alizungumzia kuhusu diss ya Drake kwenye ngoma ya 6PM in New York,” ambapo Tyga alimjibu kwa kumuita “bitch.”

“I just don’t f*ck with him as a person because of the experience I’ve had with him personally,” alisema Tyga. “His music is great and it’s undeniable. It’s his moment.”

“It’s not really a beef, it’s just experiences that I’ve had with him, phone calls, and just stuff like that. I feel like he’s a nice guy on the outside, but he’s not genuine. He plays people left and right.”

Kwa upande mwingine Tyga amekiri kuwa Drake ana akili zaidi yake na kuongeza kuwa “I got bars as well.”

Related Articles

Leave a Reply

Bongo5

FREE
VIEW