Burudani

Tyga akosolewa kwa kumuita Tupac ‘baba’ aeleza kwanini anamchukulia hivyo

Kama Tupac angekuwa na mtoto wa kiume, basi angekuwa ni Tyga. Rapper huyo hata hivyo alijikuta kikaangoni baada ya kumuita marehemu Tupac Shakur, baba yake.

tyga-tupac-vs

Baada ya maneno kuwa mengi, Tyga alilazimika kutoa ufafanuzi zaidi.

“Pac alinifundisha mimi mengi kumzidi hata baba yangu mwenyewe. Aliniinspire, alinihamasisha, alinisikiliza bila hata ya yeye kuwepo pale,” aliandika kwenye Twitter.

“Nilitaka kuwaonesha hiki mashabiki wangu, barua kutoka kwa baba yangu ambaye anatumikia kifungo cha maisha jela,” aliongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents