Burudani

TYGA ataja nyimbo zitakazo kuwepo kwenye albamu yake ‘KYOTO’

By  | 

Tyga ameamua kuweka wazi nyimbo ambazo zitakazo kuwepo katika albamu yake iitwayo Kyoto ambayo ataiachia siku ya ijumaa februari 16 mwaka huu.

Ingawa tumesikia nyimbo kadhaa kutoka kwenye albamu hiyo, majadiliano mengi yamekuwa juu ya coverphoto ya albamu hiyo kama ambavyo umeiona picha hiyo hapo juu.

Rapa huyo sasa ameamua kutaja orodha ya nyimbo zitakazo kuwepo kwenye Albamu hiyo na itakuwa na nyimbo 14 huku tukiona akiwashirikisha wasanii malimbali kama Gucci Mane, Tory Lanez na 24hrs. Angalia kikamilifu hapa chini.


Na Raheem Rajuu

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments