Burudani

Tyga aweka wazi ratiba ya ziara yake mpya

Baada ya kimya cha muda mrefu, rapper Tyga ameamua kuanza ziara yake ya muziki Septemba 22 ya mwaka huu.

Ziara hiyo aliyoipa jina la ‘Bitch I’m the Shit 2 Tour’ itaanza kutimua vumbi mjini New Yok na kumaizikia Boston, Disemba 11 ya mwaka huu.

Rapper huyo kupitia mtandao wa Twitter amethibitisha kuwa tiketi za ziara yake hiyo zitaanza kuuzwa Ijumaa hii.

“Tickets go on sale tomorrow morning @ http://TygaTyga.com ???? #Bits2Tour,” ameandika Tyga kwenye mtandao huo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents