Burudani

Tyga kuliamsha dude kabla ya Chris Brown

Ikiwa ni bado siku kadhaa Chris Brown atoe albamu yake ya ‘Heartbreak On A Full Moon’ bila kumshirikisha shwahiba wake Tyga, naye ametangaza kuachia MiXtape yake ya ‘ BugattiRaww’ ifikapo Oktoba 23 mwaka huu.

Tyga aliachia mixtape ya ‘ Bitch I’m the Shit 2’ miezi mitatu uliyopita,rapper huyo atapishana siku saba tu na Chris  ambaye anatarajia kutoa albamu yake  tisa ifikapo Oktoba 30 mwka huu. Tayari cover ya mixtape hiyo imeshatoka na Dj Smallz atahusika ndani hii ni kwa mujibu wa post za msanii huyo katika mitandao ya kijamii ya Instagram pamoja na twitter.

Tyga anaingia katika list ya mastaa kama Future na Gucci Mane kwa kutoa “Double Project” ndani ya muda mfupi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents