Burudani

Uamuzi wa SABC kupiga nyimbo za South 90% wasababisha anguko, matangazo ya biashara na wasikilizaji waporomoka

Uamuzi wa Afisa Mtendaji mkuu wa zamani wa shirika la utangazaji la Afrika Kusini, Hlaudi Motsoeneng kuzitaka redio na TV zake kucheza asilimia 90 ya nyimbo za nchi hiyo umesababisha majanga makubwa.

Bodi ya mpito ya shirika hilo imeamua kurudisha utaratibu wa zamani kutokana na madhara makubwa yaliyojitokeza. Vituo maarufu vya redio vikiwemo 5FM na Metro FM vimedai kuwa uamuzi huo umesababisha kushuka kwa matangazo ya biashara na wasikilizaji kwa kiasi kikubwa.

SABC itarudi kwenye utaratibu wa mwanzo wa kucheza 60% ya muziki wa Afrika Kusini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents