Michezo

Ubelgiji bado vinara katika viwango ubora vya Fifa

Fifa imetoa viwango bora vya soka huku nchini ya Ubelgiji imeendelea kukaa katika nafasi ya kwanza kwenye viwango hivyo kwa mujibu wa viwango viliyotolewa Alhamisi.

Kumi Bora imebaki vile vile bila kuwa na mabadiliko huku Mabingwa wa Dunia, Germany, wakiwa Nafasi ya 4.

Afrika Ivory Coast imeporomoka hadi Nafasi ya 9 na sasa ipo Nafasi ya 28 Duniani ikifuatiwa na Cape Verde ambayo ipo Nafasi ya 33 baada ya kupanda Nafasi huku Algeria ikiwa Nafasi ya 36 baada ya kushuka Nafasi 8.

Timu nyingine katika ishirini bora ni Ubeligiji, Argentina, Uhispania, Ujerumani na Chile.

20 bora katika viwango vya Fifa

1 Ubelgiji

2 Argentina

3 Uhispania

4 Ujerumani

5 Chile

6 Brazil

7 Portugal

8 Colombia

9 England

10 Austria

11 Uruguay

12 Switzerland

13 Ecuador

14 Uholanzi

15 Italy

16 Romania

17 Wales

18 Croatia

19 Hungary

20 Uturuki

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents