Burudani ya Michezo Live

Ubingwa wa Simba kukabidhiwa Ruangwa, Lindi

Ubingwa wa Simba kukabidhiwa Ruangwa, Lindi

Vijana wa Kariakoo, Mabingwa wa Nchi Simba Sports Club kukabidhiwa kombe lao Julai 8, 2020 mkoani Lindi.

Simba yakabidhiwa ubingwa Ligi Kuu msimu wa 2018/19

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imetoa taarifa hiyo hii leo.

”Baada ya Simba SC kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2019/2020, Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) inawataarifu kuwa sherehe za kukabidhi kombe kwa timu hiyo zitafanyika mjini Ruangwa mkoani Lindi Julai 8, 20220.” – Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB)

”Shughuli hiyo itafanyika kwenye uwanja wa wa Majaliwa mara baada ya kumalizika kwa mchezo namba 340 wa Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Namungo FC na Simba SC.”

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW