Burudani ya Michezo Live

Ubora na ubovu wa vikosi vya Simba na Yanga ni huu, uchambuzi na Abbas Pira (+Video)

Simba SC dhidi ya Yanga SC huwenda uwaka mchezo utakaoandika historia nyingine siku ya Jumapili hii.

Moja Simba kufungwa mara ya pili mfululizo na Watani wao wa Jadi Yanga ndani mwaka mmoja kitu ambacho Uongozi wa Wekundu hao wa Msimbazi wameapa kamwe hawataruhusu hicho kitu kutokea.

Pili siku ya Jumapili huwenda ikaamua hatma ya kocha mmoja wapo kati ya Simba au Yanga kufukuzwa mara baada ya mchezo huo na matokeo ya aina yoyote ile yatawaweka katika kuti kavu waalimu hao na hii ni kutokana na utamaduni wa hizi timu mbili za Kariakoo. Mchambuzi wa soka nchini Abbas Pira amejaribu kuuchambua mchezo huo.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW