Michezo
UCHAGUZI MKUU SIMBA: Kaduguda achafua hali ya hewa ukumbini, wapiga kura wataka mabadiliko ya kweli (+video)
Tazama matukio mbali mbali yanayoendelea kwenye uchaguzi mkuu wa Klabu ya Simba, ambapo wagombea mbalimbali wameanza kujinadi huku zoezi la kupiga kura likianza rasmi.