Uchambuzi: Mnyama Simba aunguruma, makosa manne ya Biashara (+Video)

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara Simba SC wamefanikiwa kuchomoza na ushindi mnono wa jumla ya magoli 4 – 0 dhidi ya Biashara United mchezo uliyopigwa katika dimba la Mkapa jijini Dar es Salaam.

Akizungumzia ushindi huo mnono  @abbas__pira  amekimwagia sifa lukuki kikosi cha Wekundu wa Msimbazi ambao kimeibebesha kapu la magoli timu ya Biashara United.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW