Michezo

UEFA wakataa ombi la (La liga) la kuzichunguza klabu za PSG na Man City

Baada ya barua kutoka Shirikisho la soka nchini Hispania (La Liga) kulitaka shirikisho la soka barani Ulaya (UEFA) kuzichunguza klabu za PSG na Manchester City  kuhusu ukiukwaji wa sheria za matumizi ya fedha, Financia Fair Play (FFP), Hatimae UEFA wamekataa maombi hayo.

Rais wa La Liga, Javier Tebas

Rais wa La Liga, Javier Tebas ametoa malalamimo kuhusu wamiliki wa klabu ya Manchester City ambao pia ni wamiliki wa klabu ya PSG kutokana na matumizi makubwa ya kifedha yaliyofanywa na klabu hizo kwenye usajili msimu huu.

Lakini baadaye shirikisho la soka la UEFA limetoa majibu kuhusiana na barua iliyoandikwa na Rais wa La Liga kwa kusema kwamba shirikisho hilo halitaichunguza klabu hizo kwa sasa na taarifa nyingine kinyume na hapo ni uongo mpaka mwishoni mwa msimu.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents