Michezo

UEFAChampionsLeague: Barcelona waitwanga Juventus (+video)

Klabu ya Barcelona imefanikiwa kupata ushindi mnono wa goli 3-0 dhidi ya Juventus, magoli ya Barcelona yamefungwa na Lionel Messi magoli mawili na Ivan Rakitic.

https://youtu.be/iuZYqcGKPSs

Kwenye mchezo huo wa hatua ya makundi ya michuano ya klabu Bingwa barani Ulaya, Barcelona wapo kundi D, ambalo linaundwa na klabu ya Olympiacos na Sporting CP ya Ureno na wanaongoza kundi hilo.

Matokeo mengine kwenye kundi hilo ni kwamba Sporting CP wamechomoza na ushindi wa goli 3-2 ugenini dhidi ya Olympiacos.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents