Michezo

UEFAChampionsLeague: Hivi ndivyo Chelsea walivyoichakaza Qarabag FK (+Video)

Klabu ya Chelsea jana ndio ilikuwa klabu pekee ulaya nzima kushinda goli nyingi kulikoni klabu yoyote barani humo, kwa ushindi wa goli 6-0 dhidi ya klabu ya Qarabag FK.

https://youtu.be/_XUTBz8Gc_0

Chelsea walishinda mchezo huo wa Klabu bingwa barani Ulaya, wakiwa nyumbani na kwenye mchezo huo magoli yalifungwa na Rodriguez, Gary Cahill, Davide Zappacosta, Azpilicueta, Tiemoue Bakayoko, Michy Batshuayi na goli la kujifunga kutoka kwa Maksim Medvedev.

Chelsea ambao wapo kundi c na klabu ya Roma na Atletico Madrid wameonesha uwepo wao kwa kuongoza kundi hilo baada ya klabu hizo kutoka sare ya 0-0.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents