Ufaransa kuzuia Baibui
Wiki iliyopita, watunga sheria huko Ufaransa waliwasilisha muswada wa kuzuia mavazi yanayoziba mwili mzima (Baibui) nchini humo. Iwapo muswada huo utapitishwa, waislamu zaidi ya milioni 5 wanaokadiriwa kuishi nchini humo watakuwa katika wakati mgumu kwani mwanamke wa kiislamu anapaswa kuziba mwili wake