Michezo

Ufaransa mwenyeji michuano ya dunia ya Rugby

Taifa la Ufaransa limetangazwa rasmi kuwa mwenyeji wa michuano ya dunia ya mchezo wa Rugby mwaka 2023 baada ya kuwashinda wapinzani wake nchi ya Afrika Kusini na Ireland.

Ufaransa mweneji michuano ya dunia ya Rugby

Baraza la mchezo wa Rugby duniani lilishindwa kupata kura zakutosha katika mchakato wa kuwania kumpata mwenyeji wa mashindano hayo huko London baada ya kura zilizopigwa kutotosha kupata mshindi.

Kura za awali taifa la Ireland lilipata 8 kati ya 39, awamu yapili Ufaransa ilijinyakulia 24 ya 39 wakati Afrika Kusini ikipata15.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents