Michezo

Ufisadi ndani ya Simba: Aveva,Kaburu waswekwa rumande

Rais wa klabu ya Simba, Evans Aveva na Makamu wake, Bw. Geofrey Nyange ‘Kaburu’ wametuhumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutuya kisutu kwa makosa matano .

Rais Aveva wa kwanza kulia na Kaburu wa tatu kutoka kulia wakiwa mahakamani Kisutu leo.

Viongozi hao wa juu wa klabu ya hiyo wanatuhumiwa kwa makosa tofauti tofauti likiwemo la utakatishaji fedha ndani ya klabu hiyo.

Kaburu na Aveva kutokana na makosa yao kukosa dhamana wamerudishwa rumande mpaka julai 13 ambapo kesi hiyo itakaposikilizwa tena.

By Godfrey Mgallah

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents