Burudani

Uhuru wa Kuongea huoo Unakuja

http://www.letsfeelfree.com

Katika siku za karibuni watanzania watashuhudia mabadiliko makubwa katika tasnia ya mawasiliano, ambayo yatawapa wateja wake uhuru mkubwa wa kuongea bila kujali kabila dini wala chama cha siasa. Mabadiliko hayo ambayo yanatarajiwa ndani ya wiki moja ijayo yatawafanya watumiaji wa mawasilioano hayo kuwa na uhuru kamili ambao utawapa muda mrefu wa mawasiliano, bidhaa nzuri pamoja na zawadi mbali mbali.

Kwa mujibu wa tetesi ambazo Bongo5 imezipata uhuru huo unatarajiwa kuja na mambo mengi mazuri nay a kufurahisha kwa watumiaji wa simu za viganjani ambao wanatakiwa kuchangamkia fursa ya kujishindia zawadi kibao zilizoandaliwa.

Bongo5 inajaribu kutafuta na kujua ni kampuni gani ambayo itakuja na uhuru  huo pamoja na vifurushi vya zawadi za hali ya juu na katika kufuatilia tumepata fununu mageuzi uhuru huo wa Kuongea utakuwa katika nchi nyingi za kiafrika.

Pia katika kufuatilia huko tumepata tetesi  za kuwa wananchi wafuatilie mtandao www.letsfeelfree.com ambao unaonekana kujihusisha na habari za uhuru huo, bila kusahau nafasi nyingi za kujishindia zawadi kemkem.

Kwa mujibu wa tetesi hizo wananchi ama watuniaji wa simu za mikononi mnatakiwa kutuma maoni yenu na kuiwakilisha Tanzania ambapo pia mtapata nafasi ya kushinda tiketi ya kwenda kushuhudia mechi ya ligi kuu ya soka nchini uingereza yaani Premir Leagues baina ya Man U and Arsenal.

Pia wananchi wametakiwa kutokosa kuangalia mtandao huo wa www.letsfeelfree.com siku ya tarehe 19 ili kujua na kupata taarifa zaidi za uhuru huo kutoka kwenye kampuni ya simu.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents