HabariUncategorized
Uingereza yatoa Dola Milioni 450 Tanzania
Uingereza imetoa msaada wa dola za Marekani Milioni 450 sawa na takribani shilingi Trilioni 1 za Tanzania kwa ajili ya kusaidia miradi mbalimbali ya maendeleo hapa nchini.
Soma taarifa yake:
Na Emmy Mwaipopo