Burudani
Ujio wa bibi Cheka ndani ya Bongo fleva
Yule mwanamuziki mzee wa Bongo Fleva Bi Cheka, jana alikuwa ameanza video ya wimbo wake ni Wewe, akiwa amemshirikisha Mh temba, wimbo ambao anaamini utakuja kufanya vizuri kwenye tasnia hii.