Tupo Nawe

Ujio wa mashindano ya mpira wa miguu chini ya umri wa miaka 13 ni neema kwenye soka (Video)

Kampuni ya One Plus Communications imeandaa mashindano ya mpira wa miguu kwa watoto chini ya umri wa miaka kumi na tatu (13) yatakayo husisha baadhi ya vilabu vya mpira wa miguu kwa watoto (Youth Footbal Clubs) na baadhi ya shule za msingi jijini Dar es salaam ambapo mashindano hayo yamepewa baraka na kutambulika na TFF.

Mashindano hayo ya kwanza yanachukuliwa kama mafunzo (Pilot event) lengo kuu likiwa ni kuyatambulisha mashindano kwa vilabu vya mpira wa miguu, kwa watoto na umma kwa ujumla.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW