Burudani
Ujio wa Mb Dog, shuhudia dakika 15 akionyesha uwezo wake kwa kuimba (+Video)
Msanii na mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva @mbdog_master ametangaza ujio wake mpya kwenye muziki tena
Akidhihirisha hilo ameweza kuipa baadhi ya ngoma zake ambazo ziliwahi kuvuma sana kipindi cha nyuma kama Latifah na nyinginezo.