Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

Ujumbe wa Alicia Keys kwa mumewe Swizz Beatz baada ya kuhitimu chuo kikuu

Kwenye kila mafanikio ya mwanaume basi nyuma yake kuna mwanamke – Huu ni msemo ambao umekuwa ukitumiwa sana na ukweli wake umeonekana kwa msanii Alicia Keys.

Msanii huyo kupitia mtandao wa Instagram, amemuandikia ujumbe wa kumpongeza mumewe Swizz Beatz ambaye ni mtayarishaji wa muziki baada ya kufanikiwa kuhitimu elimu yake ya biashara katika chuo kikuu cha Harvard, Marekani.

Kupitia mtandao huo Alicia ameandika:

When your hubby graduates from Harvard Business School and you can’t stop looking at him in amazement!!!!!!🎉🎉🎉🤗🤗🤗. Today was a HUGE accomplishment!! Graduating from Harvard Business School is not only your triumph, it belongs to all of us!! Your family, your friends and everyone that vibes with you!! It reminds us ALL that there is no ceiling to our greatness!! And it’s up to us how far we want to go!!!!! From the Bronx to Harvard baby!!!!!!!! Just how you say it “sky is not the limit it’s JUST the view”

Leave a comment

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW