Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

Ujumbe wa Ally Nipishe na ex wake kuhusu kumtelekeza mtoto wavuja

Mtoto furaha na tumaini la mzazi ambalo humfuta machozi wakati anapokuwa katika hali ngumu. Jipya limeibuka baada ya msanii wa muziki Bongo, Ally Nipishe kudai yupo karibu na mtoto wake (Fatuma) pamoja na kumlelea vizuri.

Bongo5 imefanikiwa kupata ujumbe ambao unaonyesha msanii huyo akichati na mzazi mwenzake kupitia mtandao wa Whatsapp, huku mama huyo akimlalamikia juu ya taarifa sizizokuwa na ukweli ambazo anazungumza katika vyombo vya habari, ikiwemo katika kipindi cha Family cha Clouds TV kinachoongozwa na Gabo na Faiza.


Picha ya mtoto wa Ally Nipishe (Fatuma)

Katika ujumbe ambao Nipishe amemtumia ex wake huyo ni kumwambia kuwa hawezi kuongea kwa kujidhalilisha katika sanaa yake.

Hizi ni baadhi ya ujumbe ambao msanii huyo alivyokuwa akichati na ex wake.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW