Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

Ujumbe wa Diamond baada ya ‘Hallelujah’ kufikisha views 1m ndani ya masaa 15

“Nyota njema huonekana asubuhi,” hilo limeanza kuonekana katika wimbo mpya wa Diamond, Hallelujah.

Msanii huyo wa WCB, kupitia mtandao wa Instagram ameonyesha kutoamini kwa kile kinachotokea kupitia wimbo wake huo baada ya kuweka rekodi ya kutazamwa zaidi ya mara milioni moja katika mtandao wa YouTube ndani ya masaa 15.

Kupitia mtandao huo, Diamond ameandika:

Lord have Mercy! I can’t even Explain how grateful i am…1 Million Youtube Views within 15 hours…..Thank you so much for this Love and Support…. Let’s take our African Music to the World….?
(Nawashkuru sana kwa Upendo, Sapoti na kuendelea kupokea kidogo changu niwapacho… Nawashkuru sana, Niwashkuru pia kwa kuifanya #Hallelujah kuwa imetizamwa mara Milioni 1 ndani ya Masaa 15….Tuendelee kushikana na kuupeleka Mziki wetu Duniani zaidi….?)

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW