Burudani

Ujumbe wa Jaffarai kwa mbunge wa Mbeya

jaffarai_msham

Mwanamuziki wa kizazi kipya Jaffarai, ametumia ujumbe kwenye uwanja wa Sura ya kitabu maarufu kama FaceBook, ujumbe unaosema hivi……….. Jaffarai Jaffarhymes  Nikiwa km m1 kati ya wasanii wengi sana tuliosoma mbeya, naamini km jiji la Mbeya ni kitovu cha hip hop nchini.. 


sasa mr 2 uctake kuleta chuki zako binafsi ukataka kuwashika masikio watu wa mby ili kuzuia FIESTA, nawajua wakazi wa Mbeya ni wajanja na hawawezi kukubaliana na upuuzi wako hata cku 1.. Lete hoja za msingi bungeni km wenzako wakina Zitto cyo unaleta mambo ya uchochezi na chuki!!!  

 

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents