Burudani

Ujumbe wa Jux kwa Vanessa Mdee baada ya kusaini Universal Music Group

Ni raha kuona mtu wako wa karibu anafanikiwa kupiga hatua kwenye jambo fulani. Jux ameonyesha kufurahia mafanikio ambayo anayapata mpenzi wake Vanessa Mdee.

Baada ya mrembo huyo wa Bounce kusaini dili nono na kampuni ya Universal Music Group, Jux ameonyesha kushindwa kuzuia hisia zake kwa kumpongeza Vee Money kupitia mtandao wa Instagram.

Kupitia mtandao huo Jux ameandika:

@universalmusicgroup @universalmusicgermany Najua unandoto kubwa sana kufika unapotaka na kila siku nakwambia inawezekana utafika tu hii ni moja ya njia kuelekea uko. hongera mama @vanessamdee you deserve this. Safari inaendelea #moneymondays #independentwoman #powerful #africanqueen #smart #cashmadame💰 #levels

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents