UKATILI: Mwanamke apigwa na tofali na mume wake, asimulia ilivyokuwa na kueleza sababu – Video

UKATILI: Mwanamke apigwa na tofali na mume wake, asimulia ilivyokuwa na kueleza sababu - Video

Rhoda Robert,  mkazi wa Kata ya Katoro Wilayani Geita amefanyiwa ukatili na Mwanaume ambae alikua mumewe aliemuacha na watoto 6, kwa kupigwa na tofali kichwani na kupelekea jeraha kwa sababu za mgawanyo wa mali baada ya kuachana. Akizungumza na Bongo5 ambayo imefanikiwa kufika Nyumbani kwa Mwanamke Huyo Mwenye umri wa miaka 39,amedai  mume wake anaejulikana kwa jina la ,Jombi Saka,Amekuwa na tabia ya kuja nyumbani kwake mara kwa mara na kumfanyia fujo  licha ya kua wamekwisha achana.

Bi,Rhoda amesema usiku wa kuakia jumanne mwanaume huyo alifika kwenye nyumba anayoishi kwa lengo la kusalimia watoto baada ya kuaga aliinuka kwalengo lakumfungulia geti iliaweze kuondoka lakini walipofika getini mwanaume huyo alianza kumvuta nakisha kumpiga na tofari kichwani.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW