Habari
Ukiambiwa jambo usilolipenda wewe ndio kiongozi jalala, kubali – Nape Nnauye (+video)
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amempongeza Waziri wa Nishati, Medard Kalemani kwa kuwa ni Waziri huyo na Naibu wake ni wasikivu na Wanyenyekevu huku akiwasihi viongozi wengine kuwa wasikivu pale wanapopewa majukumu yao na wasioyaogope kwasababu ukiwa kiongozi wewe ni jalala