Habari

Ukiwa na magodoro na masofa haya, sahau matatizo haya ya afya (Video)

Jumatano hii kampuni ya Famous Furniture ilizindua duka lake la kwanza nchini Tanzania lililopo Milimani City jijini Dar es salaam ambalo linauza magodoro na sofa yenye uwezo wa kumfanya mtumiaji kuepuka maradhi mbalimbali ambayo yanatokana na kukosa usingizi pamoja na mgongo kutonyooka vizuri.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents