Ukweli kuhusu Nguva: Je nyama yake inaliwa? / Ni kweli ni samaki mtu? (Audio)

Nguva ni wanyama wakubwa wanaoishi baharini. Hata hivyo ni mamalia wanaozaa watoto walio hai na kuwalisha kwa maziwa. Nguva huwa na mikono ya mbele na mkia wenye umbo la pembetatu. Wanaishi kwenye pwani za Bahari ya Hindi, Bahari ya Karibi, Afrika ya Magharibi na mto wa Amazonas. Wanaweza kufikia urefu wa mita 2.5 hadi 4 na uzito wa kg 1,500.

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW