Burudani
Uliona harusi ya mama yake Beyonce? Jionee picha wakiwemo Jay Z, Blue Ivy, Beyonce na wengine
Mama yake Beyonce, Tina Knowles alifunga ndoa na mwanaume mwingine aitwaye Richard Lawson hivi karibuni.
Tina akiwa na mume wake mpya, Richard Lawson
Harusi hiyo ilihudhuriwa na wanae, Beyonce na Solange pamoja na waume zao. Jay Z na mwanae Blue Ivy nao walikuwepo. Wenye harusi hiyo ya Mama Tina, wageni wote walivalia nguo nyeupe na kujumuika kwenye boti binafsi.
Jay Z, Blue Ivy, Solange, mume wake na mwanae
Beyonce aliweka picha za harusi hiyo kwenye website yake binafsi.
Tazama picha picha hizi hapo chini.