DStv Inogilee!

Ulipitwa? Tazama hapa habari mpya kutoka vituo vya televisheni vya Tanzania (Video)

Mbio za Kilimanjaro marathon zimezinduliwa rasmi mkoani Moshi ambapo wanariadha zaidi ya elfu 7 wanatarajiwa kushiriki;

Rais Magufuli amefanya ziara yake Mkoani Arusha na amesema atamaliza kuyatumbua majipu yote ili watanzania waishi kwa raha:

Mamlaka ya chakula na dawa nchini TFDA, imeanza kutoa elimu ya usalama wa chakula kwa wanafunzi ili kuboresha afya zao:

Wizara ya mambo ya ndani inakabiliwa na changamoto ya msongamano wa wafungwa na kuruhusu adhabu ya vifungo vya nje:

Mpango wa serikali ya awamu ya tano wa kutoa elimu bure umewezesha kuongezeka kwa idadi kubwa ya wanafunzi wanaoandikishwa:

Jopo la wafanyakazi wa wizara ya habari kutoka nchini china wamewasili nchini Tanzania kwa ajili ya kubadilishana uzoefu:

Fahamu mambo mengi kutoka kwa wakazi wa mkoa wa Manyara wakikujuza jinsi wanavyokabiliwa na baa kubwa la njaa

Jifunze mengi kutoka kwa Mkurugenzi wa elimu ya ulipaji kodi kutoka TRA, akikuelimisha kuhusu suala la ulipaji kodi:

Yajue mengi kutoka kwa Katibu mkuu wa jumuiya za serikali za mitaa akikujuza kuhusu Kuelekea mkutano wa 32 wa serikali za mitaa: https://youtu.be/4Tv6_MooNkA

Fahamu mengi kutoka kwa wakala wa afya mahala pa kazi OSHA, Wakikujuza kuhusu sheria za usalama na afya kwa wafanyakazi:

Kamati ya amani Dar es Salaam imepewa changamoto ya kuelimisha wananchi juu ya umuhimu wa amani nchini; https://youtu.be/goOPXzqa_lY

Wadau wa maji wachangia kiasi cha Shillingi trilioni tatu ili kusaidia kutatua changamoto ya maji safi na salama nchini; https://youtu.be/PkucYKgRYjY

SIMU.TV: Wakazi wa Lindi wapaza sauti zao juu ya huduma mbaya na lugha chafu zinazotumiwa na wahudumu katika vituo vya afya; https://youtu.be/ccBsKMW3-ys

Wilaya ya Bukombe mkoani Geita yajipanga katika kukabiliana na mauaji ya wananchi kutokana na imani za kishirikina; https://youtu.be/EvrCY8BzOnY

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka TAMISEMI kusimamia kikamilifu mikoa na halmashauri ili kuweza kutoa huduma bora kwa wananchi; https://youtu.be/wMF6yBTASRo

Uuzaji wa matunda na mbogamboga kwenye hifadhi za barabara kwawaponza wafanyabiashara Morogoro; https://youtu.be/b2DXNvwcChQ

Chakula cha msaada kinachotolewa na serikali huenda kikawatokea puani baadhi ya wannchi wanokwepesha matumizi sahihi ya chakula hicho; https://youtu.be/EX7lXxa09wE

Mahakama Kagera yatoa kibali cha kuteketeza magendo yaliyokamatwa na jeshi la polisi mwaka 2014 katika Ziwa Victoria kutokea nchini Uganda; https://youtu.be/5JLVze3TWbM

Ugumu wa maisha na mifarakano ya familia yatajwa kuwa sababu kuu ya ongezeko ya watoto wa mitaani katika jamii; https://youtu.be/9a4Se9AV080

Unafahamu kile rais Magufuli alichowaambia wakuu wa mikoa siku ya leo? Hebu jionee jinsi hapa kazi tuu itakavyonyoosha watu; https://youtu.be/LP9CVZd26lo

Wananchi Zanzibar waamua kuchukua hatua za kusafisha jiji lao baada ya manisapaa kuonekana kulega katika kutimiza wajibu wao; https://youtu.be/L6hfDYIo-eE

Kampuni ya Salama Investment mkoani Mwanza yakiuka agizo la kusitisha shughuli zake lililotolewa na waziri Jenista Mhagama baada ya kuifutia leseni; https://youtu.be/majZ7eXMzK8

Mvua zinazoendelea kunyesha nchini zasababisha wakazi zaidi ya elfu nane Kilosa kukosa makazi; https://youtu.be/H0WNInfLh94

Waziri wa mambo ya nje Dkt. Mahinga amewataka Watanzania kuunga mkono juhudi za serikali katika kuleta maendeleo nchini; https://youtu.be/SsYSilv1PGg

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW