[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=u1uNINxhgzo[/youtube]
Katika wasanii kujibiana katika muziki, msanii Swaga Boy ambaye amemshirikisha Chika tayari ameshautengenezea kideo wimbo wake huo wa Hajajua, kwaajili ya kumjibu Dogo Janja katika wimbo wake Anajua. Hebu msikilize kisha ujue kama kweli No Music, No Life