Technology

Unafahamu ile ‘i’ ya iPhone, ipad, iMac inamaanisha nini? Fahamu leo

Bila shaka wewe ni mmoja wapo kati ya watu wanaojiuliza ile ‘i’ kwenye iMac, iPod, iTunes, iPhone au iPad ina maana gani!

iphone_4_steve_by_iozia-d4c67vi-642x511

Hii i imekuwa ikitumika kumaanisha bidhaa za Apple tangu kuanzishwa kwa iMac mwaka 1998. Kwenye tukio la mwaka 1998, Steve Jobs alizindua iMac na kueleza uhusiano kati ya ‘i’ na ‘Mac.’

Mwaka 1998 ‘i’ kwenye iMac ilisimama badala ya neno Internet.

Tofauti na Internet, i inasimama badala ya maneno individual, instruct, inform na inspire.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents