Burudani

Unafiki ni kirusi kinachoua sanaa yetu – Mboto

Mchekeshaji maarufu, Mboto amewachana baadhi ya wasanii wenye tabia ya kuwachukia wenzao.

Mboto akiwa amekaa kwa majonzi

Akiongea na gazeti la Mtanzania, Mboto alisema, “Ukweli ni kwamba wasanii wengi ni wanafiki ndiyo maana wanavuma kidogo na kupotea.”

“Lakini kama uko kiroho safi huwezi kupotea kwenye tasnia. Hiki ni kirusi hatari sana kinachoua sanaa yetu ya filamu. Wasanii tupendane, tuache team zisizo na maana,” aliongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents