Burudani
Unapenda kumuona Huddah Monroe live Dar es Salaam? Hii Inakuhusu
Mrembo na aliyekuwa mwakilishi wa Kenya kwenye Big Brother Africa The Chase, Huddah Monroe atakuwepo live jijini Dar es Salaa kwenye kiota cha Elements June 29 mwaka huu ambapo atakuwa host wa party kubwa ya katikati ya mwaka, MID YEAR PARTY.