Burudani

Unataka kumshirikisha Alikiba? Fikiria upya

Alikiba ametangaza kuacha kufanya vitu viwili vikubwa kwenye muziki wake – kupiga playback na kufanya collabo!

alikiba1

Hivi karibu muimbaji huyo alisema kuanzia sasa atakuwa akifanya muziki wa live peke yake na sasa amesema amesitisha kushirikishwa na wasanii wengine.

Akiongea na 255 ya XXL kupitia Clouds FM jana, Alikiba amesimama kufanya collabo kwakuwa yupo busy akirekodi album zake mbili. Hata hivyo amesema pamoja na kuendelea kurekodi, tayari kibindoni anazo album nne zilizokamilika.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents