Habari

Unazifahamu faini na makosa ya barabarani? Ushalipa zipi?

Kama wewe unamiliki gari si jambo geni kujikuta ukivunja sheria mbele ya polisi wa traffic na kukupiga faini. Tunafahamu kuwa misala mingi kama hii humalizika kwa kumtoa kidogo traffic hela ya mboga akale na familia yake. Lakini vipi kama ukikutana na polisi wa traffic ambaye hapokei rushwa? Kifuatacho ni noma sio? Ushakutana na makosa yapi na ukapigwa faini zipi?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents