Michezo

Undisputed: Francis Cheka amtwanga Mmarekani Phil Williams (video)

Francis Cheka is offially Undisputed. Bondia huyo wa Tanzania jana ameunyakua ubingwa wa WBU, baada ya kumchakaza bondia wa Marekani, Phil Williams kwa point. Mpambano huo ulifanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee na kuhudhuriwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt Fenella Mukangala na bingwa wa zamani wa uzito wa juu duniani, Francois Botha wa Afrika Kusini.

Pambano hilo la raundi 12 lilikuwa kali na sehemu kubwa Cheka alitawala ambapo kuna wakati alimdondosha chini bondia huyo wa Marekani, Willims.

Snapshot 6 (8-31-2013 2-03 AM)
Refa akimzuia Cheka asiendelee baada ya kumwangusha chini Williams

Source: Othman Michuzi

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents