Unique Sisters warejea na ‘Club Banger’
Hatimaye kundi la akinadada watatu ndugu wa Unique Sisters limerejea tena kwa kuachia ngoma mpya iitwayo ‘Club Banger’. Ngoma hii imetengenezwa na Manecky wa AM Records.
Download hapo chini: