Burudani ya Michezo Live

United, Chelsea ruksa kumsajili Dembele, kwaajili ya nyota huyu Madrid ipo tayari kutoa paundi Mil.120 kwa Inter Milan

Manchester United imeruhusiwa kumsaini mshambuliaji wa Lyon na Ufaransa, Moussa Dembele 23, kwa dau la paundi ya milioni 60. (Star)

Image result for moussa dembele

Chelsea pia imepatiwa motisha wa kumsaka Dembele huku rais wa Lyon Jean-Michel Aulas akikiri watamuuza mchezaji anayetaka kuondoka “. (Mail)Moussa DembeleManchester United imeruhusiwa kumsaini mshambuliaji wa Lyon na Ufaransa Moussa Dembele, 23, kwa dau la £60m deal. (Star)

Tottenham inafikiria kumsaini beki wa Norwich na England mwenye thamani £50m Ben Godfrey, 22. (Express)

Paris St-Germain imejianda kumpatia mshambuliaji wake Kylian Mbappe kandarasi ya malipo ya paundi milioni 41 kila mwaka ili kuzuia kumpoteza mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 kwenda Real Madrid 2021. (Mirror)

PSG ina mpango wa kumsaini kipa wa Man United mwenye umri wa miaka 22 Dean Henderson, ambaye kwa sasa yupo kwa mkopo katika klabu ya Sheffield United. (Mail)Kylian Mbappe

Mshambuliaji wa Uafransa na PSG Kylian Mbappe

Aliyekuwa beki wa England Joleon Lescott amemuonya kiungo wa kati wa England na Aston Villa Jack Grealish, 24, kutojiunga na Manchester United mwisho wa msimu huu kwa kuwa huenda wasifuzu kushiriki katika kombe la vilabu bingwa Ulaya msimu ujao.. (Standard)

Real Madrid iko tayari kuilipa Inter Milan £120m zinazohitajika kumuachilia mshambuliaji wa Argentina Lautaro Martinez, 22, kutoka katika kandarasi (TyC Sports)Lautaro Martinez

Real Madrid iko tayari kuilipa Inter Milan £120m zinazohitajika kumuachilia mshambuliaji wa Argentina Lautaro Martinez, 22, kutoka katika kandarasi (TyC Sports)

Tottenham inapanga kumsherehekea mfungaji wa magoli mengi zaidi katika klabu hiyo ambaye amefikisha umri wa miaka 80 Jimmy Greaves kabla ya mechi yake ya ligi ya mabingwa kati yake RB Leipzig wiki ijayo. (Standard)

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW