Michezo

United yaanza vema ligi, yailaza Leicester Old Trafford 

Klabu ya Manchester United hapo jana imefanikiwa kuanza vema ligi kuu soka nchini Uingereza mara baada ya kuchomoza na ushindi wa jumla ya mabao 2 – 1 dhidi ya Leicester City.

Katika mchezo huo uliyopigwa kwenye dimba la Old Trafford imeshuhudia Paul Pogba akiiyandikia bao la Kwanza kwanjia ya mkwaju wa penati dakika za mapema kipindi chakwanza huku Luke Shaw akihitimisha karamu ya magoli.

Leicester ilirudi kwanguvu kwenye kipindi cha pili na kupata bahati ya kupata bao dakika za nyongeza kabla mpira kumalizika kupitia kwa Jamie Vardy.

Vikosi vya timu zote mbili Man Utd: De Gea (8), Darmian (6), Bailly (6), Lindelof (6), Shaw (8), Fred (7), A Pereira (7), Pogba (8), Mata (6), Rashford (6), Sanchez (6).

Wachezaji waakiba : Lukaku (5), McTominay (5), Fellaini (5).

Leicester: Schmeichel (6), Amartey (4), Morgan (5), Maguire (6), Chilwell (5), Ndidi (5), Silva (6), R Pereira (6), Maddison (7), Gray (6), Iheanacho (6).

Wachezaji waakiba : Vardy (6), Ghezzal (5), Iborra (5).

Mchezaji bora wa mechi hiyo ni  Luke Shaw.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents